EFootball 2025 ISO PSP (PPSSPP

 EFootball 2025 ISO PSP (PPSSPP)Bila Data Save Wala Texture – Direct Link





Karibu mchezaji! Leo tunakuletea EFootball 2025 ISO PSP (PPSSPP) – toleo jipya la mpira kwa wapenzi wa michezo ya PSP. Hii version haiji na data save wala texture, hivyo unaweza kuipakua kwa haraka na kuicheza moja kwa moja bila mafaili ya ziada. Ni chaguo bora kwa wale wanaopendelea customizing au kuongeza data zao wenyewe.


Features za Game:


Gameplay laini na realistic


Full Offline – Hakuna intaneti inayohitajika


Up-to-date player transfers na kits (kwa ISO yenyewe)


Inafunguka vizuri kwenye PPSSPP emulator (Android/iOS/Windows)


Faida ya No Data Save/Texture:


Inapunguza ukubwa wa faili


Unapata uhuru wa kutumia data zako binafsi


Rahisi kwa wapenzi wa mods


Maelekezo ya Kuinstall:


Pakua faili la eFootball 2025 ISO (link ipo chini)


Fungua emulator yako ya PPSSPP


Tafuta ulipoweka faili kisha fungua na uanze kucheza


Download Link: 

eFootball 2025 PSP ISO (No Save/No Texture) ]


Usisahau kushare na marafiki zako wapenzi wa mpira! Kama unahitaji toleo lenye data save au texture, tafadhali comment au wasiliana nasi.




Comments

Popular Posts